P Funk Majani Amtaja rapper namba moja duniani kutoka Tanzania.

P Funk Majani Amtaja rapper namba moja duniani kutoka Tanzania.
Huwezi kuzungumzia muziki wa Bongo Fleva/Hiphop bila kutaja Bongo Record au jina la P Funk Majani.
Ni wazi mchango wake katika kukuza na kueneza muziki ndani ya nchi na nje ni mkubwa mno.
Sifa ya ukweli na uwazi ni moja kati ya vitu ambavyo vimeweza kumfanya aendelee kuheshimika kila kukicha katika kiwanda cha muziki.
Haikuwa shida kwa P Funk kukueleza hujui kuimba ukajifunze tena huku ukiwa umeshika pesa yako mkononi.
Mapema leo kupitia mtandao wa picha Instagram Majani aliweka picha na kuandika maneno juu ya Fid Q, ambapo ameandika “Perfect time to say bye bye kwa huyu top ( mnafiki ) so you can get high but you’ll never be as dope as ( Fid ) 🙌🏽 My version @therealfidq #Mvua
Ambapo Fid Q nae alijibu “• therealfidqIt’s been on replay since alfajiri.. I thank GOD for you my brother 🙏🏿 @majani187
Katika hali isiyo ya kawaida Majani aliweka wazi hisia zake na kusema “• majani187@therealfidq from yesterday you Officially became my No.1 MC in the world!!! Umetishaaaa!!!
Fid Q nae hakuacha kujibu ambapo ameandika “therealfidqMasta! 🙏🏿 @majani187 I’m humbled by your generosity. What we’ve got to acknowledge is that, you are that person in the industry who managed to transform & wheeled the Bongo flava / Hip hop to the next level, if not the peak of it all, therefore to hear such a kind words from you it’s something else! Truly grateful.. 😄
I’ve pondered with the thought that, perhaps he is mistaken, but immediately eradicated the thought, for If I continue to entertain the thought it’ll be self doubt! And to doubt myself is doubting the supreme master(yourself in this case).
Gratitudes 🙏🏽
Mwisho

Attachment