One The Incredible asema sababu ya kuwepo kwenye muziki hata akiwa hana wimbo mpya.

One The Incredible asema sababu ya kuwepo kwenye muziki hata akiwa hana wimbo mpya.

One The Incredible ni moja kati ya wasanii bora wa hiphop ambao mara nyingi sio wasemaji maneno katika media lakini pia katika mitandao ya kijamii.

One sio msanii wa kutoa nyimbo mara kwa mara , lakini ameendelea kuwepo kwenye muziki bila hata ya kuwa na wimbo mpya.

Akiongea na Team Tizneez hakusita kuweka wazi sababu zinazofanya aendelee kuwepo kwenye muziki hata bila ya kuwa na wimbo mpya.

Sikiliza hapa chini.

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa