OMMY DIMPOZ SITAFANYA MUZIKI KWA MIAKA YOTE

index

Nai nai ulikuwa wimbo wake wa kwanza kumtambulisha katika ramani ya muziki wa bongo fleva.Ommy dimpoz ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa achia bod, licha ya kusema wimbo huo hakuwa rasmi kwa yeye kutoa.

Ommy Dimpozi amesema “Mimi sitafanya muziki kwa miaka yote,nina miaka michache ya kuendelea kufanya muziki.Ambacho nataka kufanya ni kufungua label yangu nasaini wasanii na kuwafanyia kila kitu,sitaki nisubiri mpaka mambo yakatae cha kufanya ni kusaidia zaidi lakini sio unakuwa na msanii wako yeye video ya simu halafu wewe video south.”alisema

www.tizneez.com

instagram tizneez

twitter. tizneez

facebook tizneez

\source Fnl/Eatv