OMMY DIMPOZ “NAY WA MITEGO ANA TABIA ZA KIKE”

ommttt2222

OMMY DIMPOZ “NAY WA MITEGO ANA TABIA ZA KIKE”

Ni siku moja tu imepita tangu kutoka kwa wimbo wa Shika adabu yako ya msanii Nay wa mitego, ambao katika katika wimbo huo amezungumza kuhusu mambo mengi yanayofanywa na mastaa wenzake katika angle tofouti tofaouti.Katika wimbo huo alimtaja msanii Ommy Dimpoz kwa kusema “huyu jamaa anajiita Dimpozi wanae wanalalamika hawamjui shemeji kitaani kuna tetesi kwamba jamaa hapigi mechi jogoo hawaki waonyeshe shemeji”

Kupitia mtandao wa picha Instagram kwenye ukurasa wake msanii Ommy Dimpozi hakusita kuweka wazi hisia zake juu ya maneno hayo ambapo alisem

”Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema “

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez