OMMY DIMPOZ NA TUZO YA PEOPLE’S CHOICE

p.txt

Ommy Dimpoz ni star anaefanya vizuri ambaye anatuwakilisha vyema katika ramani ya music wa Africa.Tangu atoe kazi ya kwanza ambayo ilikuwa ni Nainai aliyomshirikisha mkali Ally Kiba,Ommy ameendeleza kudhihirisha ukubwa wa kipaji chake kwa kuendelea kutoa hits songs kila iitwapo  leo.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa picha Ommy Dimpoz alipost tuzo aliyobahatika kupata jana ambayo ni tuzo ya People’s Choice Awards 2015.Tuzo hii imetolewa na African Entertaiment Awards huko nchini Marekani.

Team tizneez inakupongeza kwa ushindi huo.

Instagram/TIZNEEZ
Twitter/TIZNEEZ
Facebook/TIZNIZ