Ommy Dimpoz Aeleza kwanini amemchukua Nedy Music

ommy-dimpoz

Nedy Music ni msanii aliyekuwa chini ya Pkp Label inayomilikiwa na Ommy Dimpozi. Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu kumtambulisha katika label hiyo na pamoja na kuachia wimbo wake wa Usiende Mbali ambapo pia ameshirikisha Ommy Dimpoz.

Ommy Dimpoz hakusita kuweka wazi kile kilichofanya amchukue Neddy Music katika Pkp Label, anbapo Ommy Dimpozi amesema”Kwanza kabisa ni msanii anaejituma, pia ustarabu ni kitu kingine na hata katika nidhamu yuko vizuri mno.Ila pia niweke wazi ni mtu wa kusikiliza na hana ujuaji yani sio mtu wa kujifanya anajua sana.”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez