‘Nyimbo 5 ambazo hazikufanya vizuri, ila zilistahili’

icon_xl

 

‘Nyimbo 5 ambazo hazikufanya vizuri, ila zilistahili’

Ni wazi mwaka huu 2016 umekuwa mwaka mzuri katika muziki wa kizazi kipya, maana wasanii wengi wametoa kazi nzuri.

Lakini zipo kazi ambazo zilikuwa ni nzuri mno ila hazikuweza kufanya vyema. Ni ngumu kujua kwanini hazikufanya vizuri ila zilistahili kufanya vizuri.

Team tizneez tunafahamu na tunajua ukubwa wa nyimbo hizi hivyo tuna kila sababu ya kuziweka wazi hapa.

I. Sawa na wao By Lady Jay Dee

II. Na mimi By P the M Feat Jux

III. Dangerous boy By Izzo Bizness Feat  Abela (The Amaizing)

IV. Wale wale by Ruby

V.Kaa tayari by Roma Feat Jose Mtambo & Darasa

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa/Tuambie niwimbo gani unaona haukufanya vizuri ila ulistahili kufanya vizuri?