Nyimbo 15 za bongo fleva zafungiwa.

Nyimbo 13 za bongo fleva zafungiwa.

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) leo tarehe 28/2/2018 imezifungia nyimbo 13 kutoka kwenye uwanja wa muziki wa kizazi kipya.

Barua ya TRCA kwenda kwa AFM Dodoma itazame hapa chini

Kwa habari Zaidi sikiliza hapa chini.

Ikiwemo ya Young Dee Bongo bahati mbaya na Mikono juu ya Nay wa Mitego.

 

 

#TuzungumzeMuziki.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa