NUH MZIWANDA “SHILOLE HAKUWA MWANAMKE MZURI KWANGU”

Nuh..........1

Nuh Mziwanda ambaye ni msanii wa kizazi kipya akiwa amewahi kufanya vizuri na wimbo wake wa msondo ngoma pamoja nyingine nyingi. Nuh ambaye pia alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake Shilole ambapo mahusiano yao yalikuwa gumzo hasa katika mitandao ya kijamii na pia baada ya wapenzi hao kuchorana Tatuu.

Mapema leo Nuh Mziwanda amesema “Shilole hakuwa mwanamke mzuri kwangu, na haya nimeyajua baada ya kuachana tu na mimi. Unajua nilijua atabaki kuwa rafiki yangu lakini sio kama vile nilivyotarajia. Na zaidi amekuwa akifanya mambo mengi ili nishuke kimuziki, pia yapo anayoongea mitaani huko au hata kwenye mahojiano yake.Licha ya kuhahack ukurasa wangu wa Instagram, hivyo nimejua hakuwa mwanamke mzuri kwangu.Pia kwasasa nimefuta tatuu yake rasmi na pia nina mpenzi mpya ambaye siwezi kumuweka katika mitandao ya kijamii.Maana huwezi kumuweka mkeo katika mitandao ya kijamii.

picha chini Nuh akiwa na Shilole enzi za mapenzi yao

nuhumziwanda-1024x1024

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

 

 

source Planet Bongo /Story tatu. earadio