“Nitawataja waliofanya video yangu kufutwa youtube” Madee

“Nitawataja waliofanya video yangu kufutwa youtube” Madee

Kupitia mtandao wa picha ‘Instagram’ msanii wa muziki wa kizazi kipya Hamadi Ally maarufu kama Madee ametoa taarifa ya kufutwa kwa video ya wimbo wake wa hela ambao una takribani siku tatu tangu utoke.

Madee ameandika “Baada ya kushindwa mchezo wa hadharani sasa mnaleta janja janja ya michezo yenu michafu, eti! unairepot kazi isiyo kuhusu youtube itolewe kua una matatizo nayo, mbona mnatumia nguvu nyingi sana kwenye hili? Haya imetolewa toka juz nini umefaidika!!mnataka muwe nyinyi tu kila siku oooh sio fair kabisa!!! TAARIFA video ya hela imefutwa na youtube na kipindi inafutwa ilikua ni siku tatu toka itoke na tayari ilikua ndio NO 1 youtube na tayari ilikua na viewers 357,109
Tumeangaika na tumefikia pazuri na kuwabaini watu waliofanya huo mchezo so nitawataja soon na no zao tutaziweka apa// wase…….. laaaaaa #WinoMweusi

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment