Nisher Amuita Gnako snitch

Nisher2
Director aliyeibuka kwa kasi na kupotea kwa kasi pia Nisher ambaye ni wazi alionekana kuleta changamoto kwa director mkongwe Adam Juma.
Nisher alifanikiwa kufanya video kadhaa katika hali ya kiwango cha juu na hata kubahatika kuchukua tuzo katika Tuzo za Watu mwaka 2014.
Mapema leo Nisher ameweka post katika mtandao wa picha Instagram ikionyesha mazungumzo yake na msanii kutoka kundi la Weusi Gnako. Mazungumzo hayo ambayo ni wazi yanaonekana yalifanyaika katika njia ya WhatsApp, kati ya Nisher na Gnako.
Nisher aliambatanisha mazungumzi hayo na maelezo yaliosema “nisherxHuu ni Usaliti! Nataka pesa zangu zirudi Kistaarabu tu. Haya ni maisha na maisha lazima yaendelee #SIJAPANIKWALANIN”
www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez
Tazama post yake hapa chini