“Nimeshamaliza deni na Nikk Mbishi bado Fid Q” Solo Thang

“Nimeshamaliza deni na Nikk Mbishi bado Fid Q” Solo Thang

Solo Thang ni moja kati ya wsanii wa hiphop ambao wamechangia kukua na kuenea kwa muziki huu ndani na nje ya nchi.

Solo Thang kupitia mtandao wa Twitter ameandika “Deni na @NikkiMbishi nimeshalimaliza,, bado moja na ndugu yangu @FidQ ,, twende kazi!!nasuburi mwaliko

Kupitia Tweet hiyo Fid Q hakuacha kujibu ambapo alisema “Aisee karibu sana ULAMAA.. nafikiri MAJANI anaweza kutubless na kitu wiki hii.. ratiba iko poa? @solothang @NikkiMbishi

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment