NIKKI MBISHI SINA MPANGO WA KWENDA NJE YA NCHI

maxresdefault
NIKKI MBISHI SINA MPANGO WA KWENDA NJE YA NCHI
Moja kati ya wasanii hiphop wenye misimamo katika mambo mengi huwezi kuacha kumtaja Nikki Mbishi.
Nikki pia ni miongoni katika wasanii wachache ambao wana uwezo wa kufanya mitindo huru (Freestyle). Kwa kile kinachoendelea sasa katika muziki wa kizazi kipya kuonekana kwenda zaidi Afrika Kusini katika utengenezaji wa video. Kwake Nikki Mbishi imekuwa tofauti na wengine
Nikki Mbishi hakusita kuweka wazi kile alicho nacho ambapo alisema “Sina mpango wala sifikirii kwenda kufanya video nje ya nchi, Tanzania pia tuna waongozaji wazuri kama Mecky Kaloka, Adam Juma, Hanscana na wengine wengi. Sasa South nifuate nini? Labda director wa huko anipigie yeye simu ila sio mimi kwenda tu”
www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez

 

Source E News Eatv