Nikki Mbishi Atoa mtazamo juu ya wimbo wa Rich Mavoko na Fid Q.

Nikki Mbishi Atoa mtazamo juu ya wimbo wa Rich Mavoko na Fid Q.

Unju ambaye ni maarufu kama Nikki Mbishi ambaye mara zote huweka hisia zake hadharani bila kujali mapokeo ya mtu mwingine.

Ni usiku wa kuamkia leo ambapo msanii kutoka Wasafi Rich Mavoko alipoachia wimbo wake wa Sherii akiea sambamba na mkali Fid Q.

Kupitia mtandao wa Twitter kwenye ukurasa wa Nikki Mbishi ameandika “Rich Mavoko ft Fid Q wimbo wake unaanza na melody ya “Show Me” tena verse ya Harmonize.
Unju”

Je ni kweli kuna mfanano shabiki hebu tuambie mtazamo wako na wewe.

#TuzungumzeMuziki