Nikki Mbishi atakiwa kuripoti Basata.

Nikki Mbishi atakiwa kuripoti Basata.

I’m sorry Jk ndio wimbo wake ambao unafanya vyema katika mitandao ya kijamii zaidi. Kumekuwa na mashabiki wengi ambao wamekuwa wakijrekodi video wakiendelea kufurahia michano, mashairi ya mkali Nikki Mbishi.

Mapema leo Nikki Mbishi alimuandikia ujumbe mwandishi wetu ambapo ameandika “Wazee nasikia kuna amri imetoka juu ingawa sijajua ni juu wapi,imefika BASATA kuwa nahitajika kureport pale Jumatatu eti kujadili mustakabali wa wimbo wangu wa “I’M SORRY JK” najua hakuna jipya wanataka kuufungia tu,ila nitakwenda kuwasikiliza mkisikia niko Central Police mshtuke ndo nchi yetu.

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa