NIKKI MBISHI ATAJA NYIMBO ANAZOZIKUBALI KWA JOH MAKINI

211fdcfc8d805e5a09ab11aa6a2ae8fe

NIKKI MBISHI ATAJA NYIMBO ANAZOZIKUBALI KWA JOH MAKINI

Play boy ni wimbo wake ambao ulimpatia mashabiki wengi, lakini Nikki Mbishi ameendeela kufanya vyema katika ramani ya hiphop ya Tz ambapo ameendelea kusimama katika misingi tofauti na walio wengi walioikimbia misingi hiyo.

Kupitia mtandao wa picha Nikki Mbishi alishindwa kuficha hisia zake juu nyimbo anazozikubali kutoka kwa Joh Makini.

Nikki Mbishi aliandika “my best all the time, muda na dakika 90” na wakati huo akiwa ameweka picha ya msanii Joh makini.Muda na Dakika 90 ni nyimbo za msanii Joh makin ambazo ilizotoka miaka ya nyuma.

Licha post hiyo kufutwa muda mfupi baadae.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez