Nikki Mbishi aomba wimbo wa Daz Nundaz Maji ya shingo maalum kwa Godzilla

Nikki Mbishi aomba wimbo wa Daz Nundaz Maji ya shingo maalum kwa Godzilla

Β Pumzisha mwili wako ni wimbo wake ambao ameuachia sasa,ambao katika chati ya mdundo umeweza kushika namba moja katika nyimbo zilizoweza kupakuliwa mara nyingi zaidi.

Mapema leo Nikki Mbishi ameshangaza wengi katika mtandao wa Twitter mambo ambayo yanawagusa wasanii wenzake moja kwa moja.

Nikki ameandika “Oi Dj D’Ommy bonyeza #MajiYaShingo ya Daz Nundaz iwe maalumu kwa mwanangu @King_Zillah πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€”

“Stamina wa watu maskini kuimba hawezi ila hana namna itabidi tu aimbe la si hivyo atarudi Uluguruni kama Izzo Mbeya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€”

“Nay wa Mitego safari ileeeeee imeiva πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ingieni booth tuone sio story mob kazi chenga.”

“Bongo Bahati Mbaya Β verse mistari miwili chorus x 800 πŸ˜€πŸ˜€ #KOMESHO sio Commercial tena”

#NawazaTu