Nikki Mbishi Amuandikia ujumbe Fid Q

Capture

Nikki Mbishi Amuandikia ujumbe Fid Q
Nikki Mbishi ni moja kati ya wasanii wakali wa hiphop bongo. Hata katika list ya wasanii watano bora wa hiphop wa muda wote tumeona Wakazi akimtaja.
Mapema kupitia mtandao wa Twitter haikuwa ngumu kwa Nikki Mbishi kuweka wazi mawazo yake juu ya Fid Q ambapo ameandika” @FidQ Nataka kazi mpya maana sina cha kusikiliza ghetto”

Maombi ya kuomba kazi mpya kutoka kwa wasanii na mashabiki kwenda kwa Fid Q yamekuwa yakiongeza kila siku. Nadhani ni  muda sahihi sasa wa Fid Q kufanya jambo.

Tweet ya Nikki Mbishi

IMG-20160713-WA0007

 

www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez