Nick wa Pili Atarajia kumtambulisha Sweet Mangi

IMG_6241

Nick wa Pili Atarajia kumtambulisha Sweet Mangi

Role model wimbo wake unaofanya vyema sasa katika baadhi ya radio station hapa nchini Tanzania.

Nick wa pili hakusita kuweka wazi ujio wake unaokuja hivi karibuni. Ambapo amasema “ Sweet Mangi ni ujio wangu unaokuja hivi karibuni, na nimefanya Chin Bees. Na sisi kufanya kazi nyingi na Chin Bees ni katika kumfanya afahamike maana ni wazi sisi tunasikilizwa zaidi sasa.”

Wimbo huo tayari video yake imekamilika, na video hii imefanyika nchini South Africa na muongozaji Justin Campos.

 

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez