“Ndoto yangu imetimia” Stamina

IMG_7037

“Ndoto yangu imetimia” Stamina

Mkali wa hiphop tokea mji kasoro bahari Moro Town ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Stamina, ambaye pia ni moja kati ya wasanii wa hiphop wenye tungo zenye kugusa jamii katika maisha ya kila siku.

Kupitia mtandao wa picha Instagram hakusita kuweka wazi ndoto yake, ambapo ameandika “Ndoto zangu kufanya ngoma na huyu bro Jay mo zimetimia hii leo, thanks bro, fans, thanks god, coming soon, very soon”

Lakini katika wimbo huo pia ameshirikishwa Roma, wakati mtayarishaji akiwa Rash Don.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez