NCHA KALI “WASHAURI WA LINAH MNAMPOTEZA

b34

Mtangazaji wa zamani wa Clouds Fm,ambaye kwasasa anafanya shughuli zake nyingine za kimaendeleo,licha ya kuacha utangazaji lakini amekuwa akiendelea kujitolea kushauri yaliyo mazuri katika mziki wa bongo fleva.

Kupitia mtandao wa Twitter mapema leo Ncha Kali amesema “Wanaomshauri Linah wanampoteza,Linah ni muimbaji mzuri sana sana amebadilika sana kimuonekano, hilo nawapongeza ila kimziki wanampoteza.”

Tweet za ncha kali li

linah 2

CC#www.tizneez.com

instagram@tizneez

twitter@tizneez

facebook page @tizneez