NCHA KALI “DEAR MSANII BILA WAZO UNAPOTEZA HELA”

REUBEN 2
Reuben Ndege maarufu kama Ncha Kali ambaye aliwahi kuwa mtangazaji wa kituo cha radio Clouds Fm Jijini Dar es salaam.Ncha Kali ambaye kwasasa ameamua kujisghulisha na shughuli nyingine nje ya maisa ya utngazaji.
Licha ya kuwa nje ya radio station lakini jamaa kwa mapenzi aliyonayo amekuwa aliendelea kutoa support mbalimbali ambazo zinasaidia kukuza na kueneza bongo fleva kwa ujumla pamoja na wasanii kufaidika na kazi zao.Hii si mara ya kwanza Ncha Kali kusema vitu vizuri kuhusu mziki huu wa bongo fleva,Maana hata siku ya semina ya MCEA na COSOTA Ncha kali alihimiza zaidi wasanii kujitokeza ili kupata kujua haki miliki pamoja na ulipwaji mirabaha mara tu baada ya media kucheza wimbo wake.
Kupitia mtandao wa twitter Ncha ameandika”
NCHAKAL
Team tizneez inampongeza kwa kuonyesha upendo kama huu katika game ya bongo fleva.