Nay wa Mitego Atangaza remix ya wimbo wake wa Muda wetu

Nay wa Mitego Atangaza remix ya wimbo wake wa Muda wetu.

Muda wetu ni wimbo ambao ameutoa mwezi mmoja nyuma. Wimbo huo ambao umepokelewa vyema na mashabiki wake,maana wengi wao wamekuwa wakijirekodi video clip na kuweza kutuma katika mitandao ya kijamii.

Mapema kupitia mtandao wa Twitter msanii Nay wa Mitego ameandika  “Anytime Muda Wetu Remix itakuwa hewani kuna vichwa kadhaa ndani.Stay tuned #MudaWetuRemix”

Facebook Tizneez

Twitter Tizneez

Youtube Tizneez

Instagram Tizneez