Nay wa Mitego Ataja wimbo wake uliompa mafanikio.

91betru-b

Nay wa Mitego Ataja wimbo wake uliompa mafanikio.

Nay wa mitego ni moja kati ya wasanii ambao wamekuwa na utambulisho wa nyimbo zenye maneno mengi ya kugusa watu kwa namna moja au nyingine.

Mapema leo hakusita kuieleza Team Tizneez ambapo amesema “Nakula ujana ni wimbo wangu amabao umenipatia mafanikio kuliko wimbo wowote ule, pia ni wimbo wangu ambao mara nyingi ndio huwa nafungia show”

Lakini Nay hakusita kusema  “Ambao wanasema nyimbo zangu ni kudis watu nawambie washike adabu zao.”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez