NAVY KENZO WATAJWA KUSHIRIKI TUZO NIGERIA

images
Game ni ngoma yao inayofanya vizuri katika chati za radio na runinga ndani na nje ya nchi pia.Navy Kenzo ni group linaoundwa na wakali wawili amabao ni Aika na Nahreel ambao pia na wapenzi wa muda mrefu.
Aika aliambia Team tizneez”Kundi letu na Navy Kenzo limechaguliwa kuingia katika tuzo za Nigeria ziitwazo Tp Naija Music Award,na ili kuleta tuzo nyumbani tunaomb watanzania watupigie kura.”
Hii ni hatua kubwa nyingi kubwa katika muziki wa bongo fleva.Hivyo team tizneez inawatakiwa kila la kheri katika mchakato huu.
Na jinsi ya kupiga kura nenda katika bio yao instagram @navykenzoofficial