Navy Kenzo wafanya collabo na wasanii watatu wa kimataifa

safe_image

Navy Kenzo wafanya collabo na wasanii watatu wa kimataifa

Kamatia chini ni wimbo wao unaendelea kufanya vyema katika vituo vya radio na runinga ndani na nje ya nchi.

Navy Kenzo ni kundi linaoundwa na wakali Aika na Nahreel ambapo pia wana mahusiano ya kimapenzi.

Katika kile kinachochagia muziki kukua na hata kujitangaza zaidi ni kufanya kazi na wasanii wa kimtaifa. Navy kenzo wameshafanya kazi na Patoraking, Jesse Jagz pamoja na R2beez kutoka Ghana.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez