Nash MC Achukizwa na yanayofanyika uwanja wa taifa

nash

Nash MC Achukizwa na yanayofanyika uwanja wa taifa

Vitasa Moto ni kanda mseto yake ambayo iko katika hatua za mwisho ili aweze kuitoa mwaka huu.

Nash Mc ni moja kati ya wasanii wa hiphop wenye misimamo na sio mtu wa kuyumbishwa kama walivyo wengi wao.

Kuapitia mtandao wa Facebook Nash Mc hakusita kuweka mtazamo wake juu ya kile kinachokuwa kinaendelea uwanja wa taifa hasa katika mechi zinazofanyika mara kwa mara.

Nash ameandika “Tupo uwanjani mara tunaanza kusikia mambo ya siasa tena,oooh! Mara sijui yupo mbunge wa Chalinze mara sijui tunatambua uwepo wa Waziri wa Michezo sijui kilimo,watu wanafungwa nyie mnaleta mambo ya kurushana kisiasa NDIO NINI SASA?? Tunaangalia mechi kibao za nje huko hatusikii mambo hayo wala nini”.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez