MZAZI MWENZIE SUGU,AKIRI KUENDELEA KUVAA VICHUPI

Mzazi mwenzie Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi, Bi. Faiza Ally kupitia ukurasa wake Facebook na Instagram.Amekiri kutoacha tabia yake ya kuvaa nguo zisizoendana na maadili ya Mwafrika mara baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuisha. Watu wengi walitarajia tabia yake hii kukoma baada ya kupelekwa mahakamani na mzazi mwenzie na kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili.

                                    Picha ifutayo hapo chini inaonyesha ujumbe huo.

faiza