Mwanasheria wa Nay wa Mitego azungumza kuhusu adhabu iliyotolewa na BASATA

IMG_2581

Ni jana Basata ndio imetengaza kumfungia msanii Nay wa Mitego kwa muda usiojulikana lakini pia atafunguliw akifungo hicho pale ambapo atajisajili Basata.

Nay wa Mitego alikuwa na mwanasheria wake Ndugu Mwesigwa Muhingo ambavyo wameweza kuipokea adhabu hiyo.

Akiongea na Team tizneez amesema

Msikilize hapa chini.