MWANA FA HATUJAFIKA TUNAPOTAKA

FA

Asante kwa kuja inaendelea kufanya vizuri katika kila upande wa nchi. Huu ni wimbo halali wa mwana Fa ambaye ameendelea kuonyesha ukubwa wake katika muziki huu wa bongo fleva/hiphop.  Mwana Fa hakusita kuweka wazi mtazamo wake kuhusu muziki huu kwa hapa ulipofika ambapo alisema”

Support ndio kitu kikubwa nafurahi kuona mashabiki wanatoa support kubwa sasa lakini bado hatujafika pale ambapo tunataka. Licha ya haya mafanikio yote yametokana na nguvu ya mashabiki wetu kuendelea kutusupport.”

bila support hatuwez kufanya muziki mzuri ila kwaajili ya nguvu ya mashabiki ndio tunafanya muziki mzuri. So mashabiki niawaombe waendelee kusupport huu muziki wetu maana umefika pazuri.”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

instagram tizneez

facebook tizneez

source Planet Bongo Ea radio.