MWANA FA AMSIFU MOTRA THE FUTURE

FA

MWANA FA AMSIFU MOTRA THE FUTURE

Asanteni kwa kuja ni wimbo wake wake unaofanya vyema katika vituo vya radio na runinga ndani na nje ya nchi, Mwana Fa a.k.a Binamu ambae tangu wimbo wake huu kutoka amekua akipost viapnde vya video vya mashabiki wake mbalimbali.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha Instagram alipompost Motra The Future ambaye ni msanii chipukizi anayefanya vyema katika ramani ya bongo fleva/hiphop.

Ambapo Mwana Fa ameendika “Motrah The Fu*%# Future motra_the_future kid ameiua hii kinyama na track nzima kwenye hii beat,studio recorded kabisa na nimemruhusu kufanya mpaka video..hivi ndio hiphop inafaa kuendeshwa..bleeeess up!..A Town stand up..”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez