“MUZIKI UMEKOSA KITU KIMOJA TU “MANDOJO NA DOMAKAYA”

mqdefault

Wakongwe katika muziki wa bongo fleva Mandojo na Domakaya ambao waliwahi kufanya vizuri na nyimbo kama Nikupe, Taswira, Niaje, Dingi,pamoja na nyingine nyingi.

Ni muda mrefu wapo kimya, licha ya Mandojo kusema “Tupo na shughuli nyingine za kimaisha kama biashara lakini si kama tumeacha muziki.

Pia wakali hao hawakusita kuweka wazi kile wanachoona kimekosekana katika muziki huu sasa,”Muziki umekosa kitu kimoja tu, watu wanafanana sana kwenye kuimba hivyo ni wazi hakuna uhalisia wa kisanaa.Zamani ulikuwa unajua huyu ni fulani ukiskia wimbo kwa mara ya kwanza.”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez