MTU CHEE YAWEKA WAZI KUHUSU YOUNG KILLER

12093371_1647819428822598_1331493459_n
Mtu tatu ndio wimbo wao mpya waliowashirikisha wakali kama Jux,Dedy na Young Killerwimbo huo umetoka leo na kutambulishwa kwenye vituo vya radio mbalimbali.Mtu chee ni kundi linaloundwa na Stamina pamoja na Country Boy lakini zamani kundi hili likuwa linaundwa na watu watatu kati ya Stamina,Country na Young D.
Lakini kwasasa kundi hilo limebaki na watu wawili ambao ni Stamina na Coumntry Boy.Stamina hakusita kuweka wazi juu ya ushiriki wa Young Killer katika wimbo huo uliotoka leo wa Mtu tatu.
Akiongea kwenye kipindi cha The jummp Off cha times Fm kinachofanywa na Jabir Saleh Stamina alisema “Young Killer hayupo official Mtu Chee lakini kilichofanya tufanye nae kwenye hii project ni ukaribu wake na mimi pamoja na Country Boy.Lakini kabla ya hapo tayari Young Killer alisshafanya kazi na sisi wote yani Young D,Country pamoja na mimi, hivyo haikuwa ngumu kumchukua kufanya nae hii kazi.Na kama ikitokea Young Killer kuwa official katika kundi la Mtu Chee basi tutakuja kusema lakini kwasasa Young Killer hayupo official.alisema Stamina.
Mwisho
Piga kura linda amani.#tiznnez.com
Facebook.com/tizniz

Twitter.com/tizneez

Instagram/ tizneez