Mtayarishaji atoa nafasi kwa wasanii ambao wanahitaji label.

Mtayarishaji atoa nafasi kwa wasanii ambao wanahitaji label.
Salii Teknik ni moja katia ya watayarishaji bora ambao tumebahatika kuwa nao katika uwanja wa muziki wa kizazi kipya.
Upande wa hiphop ni upande ambao ameweza kusimamia vyema hasa katika kazi nyingi alizoweza kumfanyia Nikki Mbishi.
Mapema leo kupitia mtandao wa Facebook katika ukurasa wake ameandika “Wanaotaka Lebo Jumapili Hii (30/07/2017) Kwenye KINASA Waniletee CD Zenye Track Zao Waandike Na Mawasiliano Yao Nitawatafuta Baada Ya Kusikiliza Kazi Zao #Amani”
Hii ni nafasi ambayo wasanii wote wanapaswa kuitumia vyema ili kufikia malengo yao.
Follow Twitter Tizneez
Facebook page Tizneez
Instagram Tizneez
Tuachie maoni yako hapa