MSIMAMO WA BASATA JUU YA WASANII,WATAYARISHAJI NA WADAU

CbQutqQXIAQmRbA.jpg large
Haya ni mambo kadhaa yaliyowekwa katika ukursa wa twitter wa Baraza la sanaa Tanzania BASATA. Team tizneez tumekuletea upate kujua zaidi.
MSIMAMO:Kuanzia mwaka huu Wasanii wasiosajiliwa hawatashiriki programu ya Tuzo za Muziki Tanzania-KTMA-Mareges
MSIMAMO:Marufuku Msanii asiyesajiliwa kupanda Jukwaani/kushiriki mashindano/tuzo.Mwanasheria BASATA akisisitiza
MSIMAMO:Wasanii na wadau wote wa Sanaa wazingatie sheria na urasmishaji wa Sekta ya Sanaa-E.Ndowo,Idara ya Usajili
MSIMAMO:Vibali kwa matamasha/tuzo vitatolewa kwa sharti la kutumia Wasanii waliosajiliwa pekee-Mareges Ng’oko
MSIMAMO:Studio ambazo hazijasajiliwa na kutambuliwa kisheria maproducer wake hawatashiriki matukio ya Sanaa/Tu
Na gharama za usajili ni Gharama za Usajili wa Msanii ni: 1.5,000/- (Fomu) 2.30,000/- (Usajili) 3.40,000/- (Kibali), kwa Studio/Promota kibali ni 200,000 (Renewable)

www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez