Mr II Sugu Ajibu tuhuma za Mr Blue

MR-II-PICS-742425

Mr II Sugu Ajibu tuhuma za Mr Blue
Katika kile kinachoendelea juu ya malalamiko kutoka kwa Mr Blue kwenda kwa msanii mkongwe Sugu juu ya uwizi wa nyimbo ya Fredoom.
Lakini pia Mr II Sugu ndiye msanii pekee anaongoza kwa kuwa na album nyingi kuliko yoyote katika muziki wa kizazi kipya. Mpaka sasa Mr Sugu ana album 11.
Team tizneez ilitamfuta Sugu kwa njia ya simu, ambapo amesema “Some bullshit not strong allegations nigga. Wasanii Bongo inabidi tukue akili na ufahamu. Hakunaga beat ya msanii, beat ni za producers na ndio maana mwenye beat yumo kwenye video ambaye ni Master J”

 

www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez