Mr II Sugu Aingia tena studio.

IMG_2828

Mr II Sugu Aingia tena studio.

Freedom ni wimbo wake alitoa mapema mwaka huu, ambapo hakika umefanya vyema wakati wengi wakifurahia maisha ya msanii huyo mkongwe mwenye misimamo mingi yenye tija.

lakini pia ni Mh Mbunge wa Mbeya Mjini na jina lake halisi ni Joseph Mbilinyi ambaye ndiye msanii wa kwanza wa kizazi kipya kuweza kupewa tiketi na wananchi ya kwenda kuwawakilisha Bungeni kupitia Chadema.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha “Instagram”hakusita kuandika ujumbe uliombata na picha ambapo ameandika “Studio 24 with Producer Kita today # Can’t leave Rap alone, the Game is Me”

Picha akiwa studio

Capture

Endelea kuwa karibu na www.tizneez.com uwe wa kwanza kujua mengi yanayohusu bongo fleva/hiphop.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez