Motra Aeleza faida za kufanya kazi na Ruby

TYXG9Iwk

One day ni wimbo wake halali Motra aliyofanya na mkal Ruby, ambao wote hawa ni wasanii chipukizi wanaofanya vyema katika muziki wa bongo fleva/hiphop.

Motra hakusita kuweka wazi juu ya faida alizopata kufanya kazi na Ruby. Motra amesema “Kiukweli nimefaidika kwa kiasi kikubwa kufanya kazi na Ruby, kwanza Ruby ni msanii mzuri ambaye anafanya vyema na watu wanamuheshimu, hivyo kufanyanae kazi imenisogeza mahala pakubwa zaidi. Na hata heshima yangu pia imeongezeka zaidi.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez