Moni Atoa tahadhari kwa wasanii.

Moni Atoa tahadhari kwa wasanii.

Ni mwezi sasa umepita tangu kutokea kwa tukio utekwaji ambalo lilihusisha studio ya Tongwe Record na wasanii wake kama Roma, Moni, pamoja na Bin Laden akiwa kama mtayarishaji wa muziki.

Tangu kupatikana kwao Moni hakuwa mzungumzaji kuhusu jambo hili lakini leo hii ameamua kuweka wazi katika kipindi cha ladha 3600 Efm. Kuptitia kipindi hicho Moni amesema “industry ni kubwa na inalisha watu wengi, tuweke ulinzi, mazingira ya makundi ya watu kukaa studio hayatakiwi siku hizi na kama wanakaa wahakikishe wana ulinzi wa kutosha.

 

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Attachment