MKOLONI NI VYEMA KUSHIRIKI KATIKA VITU VYA WAZI

IMG_2860

Kinara wa mazuki wa jumbe zenye kugusa jamii moja kwa moja kijana toka Wagosi wa kaya nae ni miongoni mwa wasanii waliokuwepo na katika tamasha la democracy in dar lilifanyika katika viwan ja vya Mbagara Zakhem Jijin Dar es Salaam.

Akiongea na team tizneez Mkoloni alisema”unajua ni nyema zaidi msanii kushiriki katika vitu vya wazi kama hivi sio watu wanashiriki katika mambo ya kujifishaficha,jitokeze hadharani na elimisha jamii iliyokuzunguka ndio jambo la msingi.

Pia Mkoloni alichukua nafasi hiyo kushukuru watu wote waliotokea katika tamasha hilo na kusema wafanyie kazi ujumbe walioupata katika tamasha hilo la Democracy in dar.

Unaweza kuwa rafiki yetu faceboo.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/teamtizneez