“MIMI SIO SHABIKI WA RICH MAVOKO” GIGY MONEY

1

I get high ni wimbo alionekana kama video vixen Gigy Money ambaye mara nyingi amekuw gumzo katika mitandao ya kijamii hususani mtandao wa picha Instagram.

Gigy hakusita kuweka wazi jambo lake juu msanii Rich Mavoko ambapo alisema”Niliwahi kuwa na mahusiano na Rich Mavako na wakati huo nipo form II, pia niliamini kama atanitoa kimaisha lakini haikuwa hivyo,hata hivyo katika wakati huo nilikuwa na mahusiano na Hemdy Phd.

Baadae niliachana na Rich ingawa akaendelea na mambo ya ajabu hata kuja kunigombanisha na mtu wangu mwingine hapo baadae. Kiukweli simkubali na ana mambo ya kike mimi binafsi siwezi kuwa shabiki wake hata mara moja. Na kama anaangalia basi ajue simkubali.

Picha ya msanii Rich Mavoko

rivhie_mavoko

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

Source Planet Bongo Eatv