Mh TEMBA ASEMA NYIMBO ANAZOWEZA KUANDIKA ZAIDI

DSCN1093

Mh TEMBA ASEMA NYIMBO ANAZOWEZA KUANDIKA ZAIDI

Fundi ni wimbo wake uliotoka siku kdhaa zilizopita, wimbo huo ambao audio yake imepokelewa vizuri na mashabiki wake. Mh Temba ameendelea kujipanga pia katika kuachia video yake ambayo itasimamiwa chini ya director Hanscana.

Mapema Mh Temba Mapema leo Mh Temba alisema “Nashukuru kwa mashabiki walionza kunisupport tangu wimbo wangu wa mpenzi ninakumaind mpaka leo hii Fundi. Lakini pia binafsi napenda watu wajue kuwa naweza kuandika zaidi nyimbo za mapenzi, unaweza ukanipa hata story kidogo mimi nikaandikia mpaka ukashangaa.”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

 

 

Source Efm Genge