Mgosi Mkoloni Ajitokeza kupinga kipindi na wote wanaoshangilia vitendo vya ushoga.

12540770_1091304514243703_575288356696499836_n

Mgosi Mkoloni Ajitokeza kupinga kipindi na wote wanaoshangilia vitendo vya ushoga.

Ni moja kati ya msanii mwenye heshima kubwa katika tungo za kuelimisha jamii, pia katika misimamo yenye maana na tija katika muziki na nje ya muziki pia.

Kumekuwa na mijadala mingi katika mitandao ya kijamii kuhusu kituo cha Clouds Tv kurusha mahojiano ya shoga yani mtu anejihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Kupitia kipindi chake cha Take One kikiongozwa na mtangazaji Zamaradi Mketema.

Msanii Mgosi Mkoloni ambaye ni Mwenyekiti wa TUMA Tanzania Music Urban Associatio hakusita kuandika kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo ameanidka “ Naungana na Watanzania wote,taasisi na wadau wanaopinga na kulaani vipindi vya namna hiyo,sikutazama na sana sana tunapaswa kuishi katika misingi ya kimaadili,dini na tusikubali hizi teknolojia na utandawazi uliopo ukatuweka uchi Akili zetu.”

Mtazamo binafsi
Mgosi Mkoloni

Huyu ni msanii pekee aliyejitokeza kupinga hadharani bila kificho

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez