Message from CEO,

Baada ya kimya cha muda mrefu tukijaribu kukutayarishia kilicho bora, Tizneez Imerudi tena, lakini tukiwa na mabadiliko katika jina,kuanzia sasa si tizniz tena ni #tizneez, tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza, karibu tena katika tovuti yako ya kijanja www.tizneez.com, leo ipo hewani rasmi, pongezi kwa watu wote walioshiriki katika matayarisho kwa namna moja au nyingine, asante kwa watumiaji wetu wote kwa uvumilivu wao katika kipindi chote ambacho hatukuwa hewani, shukrani kwa kikosi kazi cha TMG, Meddy Kombo Atlanta na Batro Da Mcben. Natumaini mtaifurahia na kuipenda.

Akhsanteni,

Khidpeeh, TMG, CEO