Maua Sama Aeleza sababu za wasanii wakike kutofika mafanikio makubwa

sisikii

Maua Sama Aeleza sababu za wasanii wakike kutofika mafanikio makubwa

Ni miongoni mwa wasanii wa kike katika ramani ya bongo fleva wanaofanya vizuri. So crazy ni wimbo wake ambao ulitanbulisha vyema na mpaka sasa anafanya vyema na wimbo wake wa “sisikii”

Akiongea na Team tizneez kwa njia ya simu Maua amesema “Nafikiri ni plan kila mtu ana plan zake na maisha yake. Pia kila mtu ana malengo yake wapo ambao wanataka hela na wapo ambao wanataka heshima hivyo ndomana wengi wanaishia njiani, kuna ambao wanataka umaarufu kwa kuzungumzia watu.”

Lakini pia Maua Sama hakusita kuzungumzia kuhusu album ambapo amesema “Kwangu album ni kama kawaida nipo mbioni kumalizia album yangu ya kwanza, album itabaki pale kunitambulisha hivyo ni lazima nifanye”.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez