MATONYA “KUWA NA TUZO SI BORA KULIKO WENZAKO”

Matonya

MATONYA “KUWA NA TUZO SI BORA KULIKO WENZAKO”

MREMBO ni wimbo wake wa kwanza kumtambulisha katika ramani ya bongo fleva mkali matonya kutoka Jijini Tanga. Mkali huyo ambae pia amewahi kutamba na vibao vyake kama Anitha, Vaileth, Siamini, Isembule na nyingine nyingi.

Wakati wengi wakiendelea kuamini kuwa kuchukua tuzo au kushinda tuzo katika muziki kuwa msanii anayekuwa na uwezo wa kuchukua tuzo nyingi ni bora zaidi. Kwa upande wa mkongwe Matonya kwake imekuwa tofauti ambapo amasema “Tuzo zina mambo mengi ya ujanja ujanja tu, na watu lazima wajue kuwa na tuzo nyingi haaminishi wewe ni bora kuliko wenzako”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

Source Planet Bongo Eatv