Master J Achukizwa na tabia za wasanii

11417297_813852772067442_864611865_n

Master J Achukizwa na tabia za wasanii

Mtayarishaji mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Master J, ambae pia ndiye mtayarishaji wa kwanza kurekodi album ya kwanza ya msanii mkongwe Mr II Sugu ambayo iliitwa Ni MIMI iliyotoka mwaka 1995.

Master J ambaye alistaafu rasmi kutengeneza muziki wa kizazi ipya tangu mwaka 2005, ambapo sasa amejikita zaidi katika upande wa utengenezaji wa matangazo.

Master J hakusita kuweka wazi hisia zake juu ya watayrishaji wasasa na wasanii vile wanavyofanya kazi ambapo alisema, “Ni wazi watayarishaji wanadharaulika na wasanii, tabia hii inanichukiza. Maana ni kiwaida mtayarishaji kupewa laki 2 na msanii halafu msanii kwenda kumpa mamilioni ya fedha muongozaji wa video. Kiukweli sipendi wanavyowachukulia hawa watayarishaji.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Source Fnl Eatv