MASTAA TOFAUTI WAONYESHA HISIA ZAO KWA ARBELT MANGWEAR

Ni miaka miwili sasa imepita tangu mkali wa freestyle Arbelt Mangwear kutoweka katika uso wa dunia,Arbet ambae alikuwa ni moja kati ya wasanii walisaidikia kukua zaidi na kuenea kwa bongo fleva ndani ya inchi na nje pia.Arbet alikutwa na mauti wakati akiwa south afrika ambapo alikwenda kufanya onyesho la kimuziki.Licha ya kupita kwa miaka miwili lakini wasanii wengi wameonyesha ni jinsi gani wanamkumbuka Arbelt kwa kuposti katika mitandao ya kijamii.
Na hizi ni baadhi ya post za mitandaoni kutoka kwenye account za mastaa mbalimbali amabapo walionyesha hisia zao juu ya Arbelt Mangwear.

M 2the P ‘MAY 28.5.2013 2 years tutakukumbuka milele nigger wangu ndugu yangu kipenzichangu damu yanguTenyeka Arbelt Kenneth Mangwear pumzika kwa amani mungu akupunguzie adhabu za kaburi milele nakulilia.

Roma Mkatoliki ‘wee hujui nilihustle mpaka leo kuwa ngwear/
siyo unaongeaongea tu hizo dis.com nishazoea
unaweza paka unavyotaka mi sijali ukininyea
kama una ….njoo geto …#lightupthecandle4mafallensoldies
we miss u
#born#live#die

Mwana FA ‘2 years rest in peace my ninja .Rest in peace askari wangu

Black Rhino/CHATA Rip Arbelt Mangwear “ngwear the gone golden rapper we always miss you son

Lamar fishcrab ‘Kila nafsi itaonja umauti tumuombee allah atuepeshie na adhabu za kabuli na atujalie pepo inshallah sote tuseme ameen rest in paradise BBA

Izzo bizness ‘Pumzika kwa amani brother Arbet Mangwear

Chege Chigunda ‘pumzika salama Arbelt kumbukumbu yako itabaki milele

Nikki wa Pili ‘ni kielelezo cha kuwa mziki n talent maana ambayo siku hizi inapotea kabisa .R.I.P

GIHCUE “My playlist to day still rememberd brother ngwear we still praying for you R.I.P

Diamond Platnum “siku zote tunakukumbuka

Quick Racka “yo so missed ma brother rest in power kubwa lao 2years now Arbelt Mangwear

Joh makini “Niga joh siku zote uliniita hivyo muziki uliotuachia ni hazina kubwa kwa tasnia hii pumzika pema chalii.

Nyandu tozy “Rip ninjaa cow boy u will forever be remembered #team 26 masela wote peponi.