MAPYA YAIBUKA LINEX NA ADAM JUMA WAITANA MBWA

adaaaaaaam
Adamu juma ni moja kati ya waongozaji video wakubwa tuliobarikiwa kuwa nao hapa Tanzania.Adam Juma ndiye muongozaji anaeongoza kufanya video nyingi na wasanii walio wengi hapa Tz.
Mapema mwaka huu msanii Linex alitoa wimbo wake wa salima aliyomshrikisha Diamond Platnum,na baada kufanyiwa video na director Adam Juma.Baada ya video kutoka Linex alifanya utaratibu wa kuipeleka katika vituo mbalimbali vya Tv.Mtv ni moja kati ya tv kubwa hapa Afrika ambayo walikataa video ya salima kwa kusema ipo chini ya kiwango.Na hapo ndipo tatizo kati ya Linex na Adam juma lilipoanza,Ambapo linex alisema”Nimemlipa Adam pesa nyini tu ili anifanyie video nzuri niweze kufika level za kimataifa lakani hakufanya hivyo binafsi imenisikitisha sana.”
Katika kipindi cha Fnl kinachorushwa na Eatv Linex alisema”Namaindi sana Adam juma maana ameharibu biashara yangu,wimbo wangu wa salima sasa umefikisha watazamaji milioni 1 lakini sio kwaajili ya video ni wimbo kuwa mzuri tu so watu wanasikiliza sio kutazama.Kwaiyo namaindi sana huyu jamaa na hata akihojiwa hapa ataleta u know nyingi ila me namaindi sana tu.”
Masaa machache baadae kupitia mtandao wa picha director Adam Juma aliandika
Screenshot_2015-12-05-10-29-02
Na linex nae akajibu hapo katika post ya Adam Juma
Screenshot_2015-12-05-10-28-06
mwisho
tufuatwitter@tizneez
instagram@tizneez