MAPYA YAIBUKA DIVA THE BAWSE NA KIMBUNGA

MkasiTV

Mtangazaji wa Clouds Fm maarufu kama Diva The Bawse,ambaye amekuwa akisifika kwa vitu vingi ikiwemo ile ya sauti yake.

Mapema mwaka huu katika mahojiano yaliyofanywa katika kipindi cha Mkasi Tv kinachoongozwa na mkali Salama Jabir,Diva alisema “hapendi wimbo wa taifa na hajui kuimba wimbo huo wa taifa”

Mapema leo katika mtandao wa picha Instagram Diva the Bawse aliweka picha ya kimbunga na kuandika “So this dummy has a new song and beasting for a real attention, kasema nanukuu (Anashangaa Diva hapendi wimbo wa taifa,akili isipotumika ni rahisi kudharaulika ) Ulikosa punchline? kila mtu ana maisha yake .Asa cha ajabu nini kama sipendi wimbo wa taifa au sijui kuimba wewe unajua kuimba? no wonder why they call you Kimbunga, wewe ndo rahisi kudharaulika. What kind the name is that at Kimbunga Mchawi , Very smart in the head incase you don’t  know you want me to be fake niseme najua  kitu sijui au sipendi. Da hell wid dat”Diva aliandika hivyo. Licha post hiyo kukaa muda mchache na kufuta.

Team tiznez ilimtafuta Kimbunga, Kimbunga akiongea kwa njia ya simu amesema “Sawa tu kwangu haina shida yani naona sawa tu sina comment yoyote ile.”

Na kuhusu wimbo huo Kimbunga pia amesema “SiwezI kuachia online maana nimetumia beat ya watu so sina haki ya kuacha huko.

Post ya diva chini hapa

IMG-20160125-WA0022

IMG-20160125-WA0023